Chaguo za Menyu za Ukamilishaji

Trei Towe:

Teua trei towe unayotaka kutumia kwa machapisho. Trei towe inaweza kuteuliwa kiotomatiki kulingana na mipangilio mingine ya uchapishaji.

Panga:

Teua jinsi ya kupanga nakala nyingi.

  • Geuza Mpangilio: Huweka kwenye mpororo machapisho mbadala kwenye mwelekeo wa taswira na mwelekeo wa mandhari. Ili kutumia kipengele hiki, teua Mipangilio ya Kuchapisha kutoka kwenmye menyu ibukizi, na kisha uteue Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Paper Source. Pili, teua Kukamilisha kutoka kwenye menyu ibukizi, na kisha uteue Uteuzi Otomatiki au Trei ya Kuangalisha Chini kama mpangilio wa Trei Towe. Machapihso yanawekwa kwenye mpororo kwenye Trei Inayoangalia Upande wa Chini.

  • Upangaji Hamishi: Huondoa kila kikundi cha nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati umeteua Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kuwa mpangilio wa Trei ya Zao. Inapatikana wakati kikamilishi cha hiari kimesakinishwa.

Kunja/Stichi ya Seruji:

Teua iwapo unataka kukunja au kukunja na kutaraza machapisho. Inapatikana wakati kihitimishi cha stepla na kitengo cha nyaya cha hiari zimesakinishwa.

Bana kwa stepla:

Teua eneo la stepla. Inapatikana wakati kikamilishi cha hiari kimesakinishwa.

Toboa:

Teua eneo la shimo linalotobolewa. Inapatikana wakati kikamilishi na kitengo cha kutoboa cha hiari zimesakinishwa.