Vipengee vya Mpangilio wa Hifadhi

Kipengee

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Shared Folder Access Control

Access

Chagua ikiwa utaruhusu watumiaji kutumia folda zilizoshirikwa (isiyobadilika).

Ukiteua Not Allowed, kipengele cha Hifadhi hakionyeshwi kwenye skrini ya kichapishi.

Operation Authority

Ukiruhusu matumizi ya folda zilizoshirikiwa (isiyobadilika), chagua ikiwa utatoa idhini ya kuunda, kurekebisha na kufuta masanduku ya mtumiaji kwa wasimamizi au pia kwa watumiaji.

Ikiwa User imeteuliwa, mtumiaji anaweza kufanya shughuli zinazohusiana na folda zilizoshirikiwa (isiyobadilika).

Ukiteua Administrator Only, menyu ya uendeshaji ya folda zilizoshirikiwa (isiyobadilika) hazionyeshwi kwenye skrini ya kichapishi, na menyu itaonyeshwa tu wakati umeingia kama msimamizi.

Automatic Delete Setting Authority

Ukiruhusu matumizi ya folda zilizoshirikiwa (isiyobadilika), chagua ili kuzuia mpangilio wa ufutaji otomatiki wa faili zilizohifadhiwa kwenye wasimamizi au watumiaji.

Ikiwa mamlaka ya uendeshaji ya folda zilizoshirikiwa imewekwa kwa msimamizi pekee, Administrator Only itateuliwa kwa kipengee hiki pia.

Shared Folder File Management

Apply to All Shared Folders

Teua kipengee hiki ikiwa ungependa kuonyesha maudhui ya mipangilio ya kufuta nyaraka kiotomatiki kwa kisanduku cha umma kilichowekwa hapa chini kwa folda zote zilizoshirikiwa.

Kipengee hiki hakijahifadhiwa na kisanduku tiki kitafutwa wakati mipangilio itatumwa kwa kichapishi.

Automatic File Deletion

Teua iwapo utafuta faili zilizohifadhiwa kiotomatiki au la.

Unit

Ikiwa Automatic File Deletion imewashwa, chagua ikiwa ungependa kufuta kila saa au kila siku.

Period Until Deletion

Ikiwa Automatic File Deletion imewashwa, bainisha siku au wakati wa kufuta kulingana na kitengo kilichowekwa.

Personal Folder File Management

Automatic File Deletion

Chagua ikiwa ungependa kufuta kiotomatiki faili zilizohifadhiwa kwenye Faili ya Folda ya Kibinafsi.

Unit

Ikiwa Automatic File Deletion imewashwa, chagua ikiwa ungependa kufuta kila saa au kila siku.

Period Until Deletion

Ikiwa Automatic File Deletion imewashwa, bainisha siku au wakati wa kufuta kulingana na kitengo kilichowekwa.

Additional Action

Delete File after Output

Teua iwapo utafuta au hautafuta faili baadaa ya kuchapisha au kuhifadhi.

Access Control

Bainisha ikiwa utaruhusu au kutoruhusu mipangilio ya kufuta faili baada ya matokeo kubadilishwa.

Wakati kipengele cha Imeruhusuwa kuteuliwa, kisanduku cha kuteua huonyeshwa kwenye skrini ya Orodha ya Faili na unaweza kuteua iwapo utafuta faili baada ya uchapishaji au kuhifadhi.

Access from Web Config

Weka ikiwa utaruhusu mtumiaji kuendesha kipengele cha Hifadhi kutoka kwa kompyuta kwa kutumia Usanidi wa Wavuti.

Ukiteua Allowed, mtumaji ataweza kufikia na kutumia vipengele kwenye kichupo cha Storage kutoka kwenye skrini ya Usanidi wa Wavuti.

Ukiteua Allowed when Logged in, utaweza kufikia kichupo cha Storage unapoingia ukitumia Usanidi wa Wavuti. Unahitaji kusanidi mtumiaji na nenosiri kwa mamlaka ya kufikia kipengele cha Hifadhi mapema.

Ukiteua Not Allowed, mtumiaji anaweza tu kuendesha kipengele cha Hifadhi kwenye kichapishi.