Unaweza kupakia karatasi kwa kurejelea uhuishaji unaoonyeshwa kwenye skrini ya LCD ya kichapishi.
Teua
, kisha uteue Jinsi ya > Pakia karatasi. Teua chanzo cha karatasi unachotaka kutumia kuonyesha uhuishaji. Teua Funga ili kufunga skirini ya uhuishaji.

Chomeka na uondoe kaseti ya karatasi polepole.