> Utambazaji > Mbinu Zinazopatikana za Utambazaji > Inatambaza Nakala Asili hadi kwenye Kabrasha ya Mtandao

Inatambaza Nakala Asili hadi kwenye Kabrasha ya Mtandao

Unaweza kuhifadhi picha iliyotambazwa kwenye kabrasha iliyosanidiwa awali kwenye mtandao.

Angalia yafuatayo kabla ya kutambaza.

  • Hakikisha kwamba kabrasha ya mtandao imetayarishwa. Tazama yafuatayo unapounda kabrasha lililoshirikiwa kwenye mtandao.

    Kuunda Kabrasha Lililoshirikiwa

  • Sajili njia ya kabrasha ya mtandao kwenye anwani zako mapema ili kurahisisha kubainisha kabrasha.

    Usajili wa Waasiliani

Kumbuka:

Hakikisha kwamba mipangilio ya Tarehe/Saa na Utofauti wa Saa ya kichapishi ni sahihi. Fikia menyu kutoka Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Mipangilio ya Tarehe/Saa.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Changanua > Kwenye Kabrasha la Mtandao/FTP kwenye paneli dhibiti.

  3. Bainisha kabrasha.

    • Ili kuteua kutoka kwenye anwani zinazotumika kila mara: Teua mwasiliani kutoka kwenye kichupo cha Mara kwa mara.
    • Ili uingize njia ya kabrasha moja kwa moja: Teua Kibodi. Teua Hali ya Mawasiliano, ingiza njia ya kabrasha kama Eneo (Linahitajika), na kisha uweke mipangilio mingine ya kabrasha.
      Ingiza njia ya folda katika umbizo linalofuata.
      Unapotumia SMB kama modi ya mawasiliano: \\jina la mpangishi\jina la kabrasha
      Unapotumia FTP kama modi ya mawasiliano: ftp://jina la mpangishi/jina la kabrasha
      Unapotumia FTPS kama modi ya mawasiliano: ftps://jina la mpangishi/jina la kabrasha
      Unapotumia WebDAV (HTTPS) kama modi ya mawasiliano: https://jina la mpangishi/jina la kabrasha
      Unapotumia WebDAV (HTTP) kama modi ya mawasiliano: http://jina la mpangishi/jina la kabrasha
    • Ili kuteua kutoka kwenye orodha ya waasiliani: Teua kichupo cha Mfikio, teua mewasiliani.
      Ili kupunguza wasiliani, teua ili kuzionyesha kama kategoria.
      Ili kutafuta folda kutoka kwenye orodha ya waasiliani, teua .
    Kumbuka:

    Unaweza kuchapisha historia ya kabrasha ambalo nyaraka zinahifadhiwa kwa kudonoa Menyu.

  4. Teua Mipangilio ya Uchanganuzi, na kisha angalia mipangilio kama vile umbizo la kuhifadhi, na uibadilishe ikiwezekana.

    Chaguo za Menyu za Utambazaji

    Kumbuka:
    • Teua ili kuhifadhi mipangilio yako kama iliyowekwa awali.

    • Donoa kurejesha mipangilio kwa chaguo-msingi yake.

    • Ili kuhifadhi nakala asili kwenye hifadhi, teua Kuhifadhi Faili kisha uweke mipangilio. Weka Mpangilio ili uteue iwapo utahifadhi taswira iliyotambazwa kwenye hifadhi au la.

      Huhitaji kuingiza maelezo ya ufikio ikiwa utahifadhi picha iliyochanganuliwa kwenye hifadhi pekee.

  5. Donoa .