Iwapo matumizi ya kichapishi yamezuiwa na msimamizi, uchapishaji unapatikana baada ya wewe kusajili akaunti yako kwenye kiendeshi cha kichapishi. Wasiliana na msimamizi wa akaunti yako ya mtumiaji.
Save Access Control settings
Hukuwezesha kuingiza jina la mtumiaji na nenosiri.
User Name
Ingiza jina la mtumiaji.
Password
Ingiza nenosiri.
Reserve Job Settings
Unda mipangilio kwa kazi za uchapishaji zilizohifadhiwa kwenye kumbukumbu ya kichapishi.
Reserve Job Settings
Hukuwezesha kuunda mipangilio kwa Reserve Job Settings, Verify Job, na Password.
Verify Job
Unapochapisha nakala nyingi, hukuwezesha kuchapisha nakala moja ili kuangalia maudhui. Ili kuchapisha baada ya nakala ya pili, endesha paneli ya udhibiti ya kichapishi.
Re-Print Job
Hukuwezesha kuhifadhi kazi ya uchapishaji kwenye kumbukumbu ya kichapishi. Unaweza kuanza kuchapisha kwa kuendesha paneli ya udhibiti ya kichapishi.
Confidential Job
Hukuwezesha kuingiza nenosiri kwenye kazi ya uchapishaji.