Unaweza kuangalia iwapo kiendeshi halali cha kichapishi cha Epson kimesakinishwa kwenye kompyuta yako kwa kutumia mojawapo ya mbinu zifuatazo.
Teua Mapendeleo ya Mfumo (au Mipangilio ya Mfumo) kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vichanganuzi (au Chapisha na Uchanganue, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo Vifaa, na iwapo kichupo cha Chaguo na kichupo cha Huduma vitaonyeshwa kwenye dirisha, kiendeshi halali cha kichapoishi cha Epson kimesakinishwa kwenye kompyuta yako.computer.
