Hubadilisha mpangilio wa faili.
Bainisha mipangilio ya chanzo cha karatasi ambacho unataka kuchapisha kwacho.
Teua Washa ili kuchapisha faili PDF kutumia uchapishaji wa pande 2. Pia unaweza kuteua mbinu ya kuunganisha kwenye mpangilio wa Ufungaji(Nakala).
Teua mpangilio ya uchapishaji wa kurasa anuwai wa faili.
Teua mpangilio wa rangi iwapo kwa kawaida unachapisha kwenye Ny'i na Ny'pe au Rangi.