Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Mtumiaji
Mipangilio ya Mtumiaji
Kichupo cha kwanza
Teua kichupo unachotaka kuonyesha kwanza kila wakati unadonoa Faksi kutoka kwenye skrini ya juu ya faksi.
Kitufe cha Matumizi ya Haraka
Unaweza kusajili hadi vipengee vinne vinavyoonyeshwa kwenye Faksi > Mara kwa mara na Mipangilio ya Faksi. Hii ni muhimu kwa mipangilio unayotumia kila mara.