Unaweza kukatiza kazi ya sasa ya kuchapisha na kufanya shughuli za kunakili.
Hata hivyo, huwezi kukatiza kazi mpya kutoka kwenye kompyuta.
Gusa
kwenye paneli dhibiti ya kichapishi unapochapisha.
Uchapishaji umekatizwa na kichapishi huingia kwenye modi ya kukatiiza.
Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Badilisha mipangilio katika Mipangilio Msingi na Mahiri ikihitajika.
Donoa
.
Ili kuanzisha upya kazi iliyositishwa, gusa
tena ili kutoka kwenye modi ya kukatiza. Pia, wakati hakuna shughuli zinazofanywa kwa muda maalum baada ya kukatiza kazi ya kuchapisha, kichapishi hutoka kwenye modi ya kukatiza.