Unahitaji kuweka mipangilio ifuatayo ili kutuma na kupokea faksi za IP kwenye intranet.
Kuweka maelezo ya SIP kwa printa
Kuweka seva ya SIP (unapotumia seva ya SIP)
Fikia Web Config, na kisha uteue kichupo cha Fax > IP-FAX Settings > LAN Settings.
Teua kila kipengee.
Bofya OK.
Mipangilio inaakisiwa kwenye printa.