Msimamizi anaweza kuruhusu vipengee vilivyo hapa chini kuonyeshwa na kubadilisha mipangilio kibinafsi.
Ufikiaji wa kumbukumbu ya Kazi: Kazi/Hali > Kumbukumbu
Dhibiti onyesho la hali linafuatilia historia ya kazi. Teua Washa ili kuruhusu kuonyeshwa kwa historia ya kazi.
Fikia ili uweze Kuwasajili/Kuwafuta Waasiliani: Mipangilio > Kisimamia Waasiliani > Ongeza/Hariri/Futa
Dhibiti usajili na kubadilisha waasiliani. Teua Washa ili kusajili au kubadilisha waasiliani.
Ufikiaji wa hivi karibuni wa Faksi: Faksi > Mara kwa mara au Mpokeaji >
(Hivi karibuni)
Dhibiti mwonyesho wa ufikio wakati wa kutuma na kupokea faksi. Teua Washa ili kuonyesha ufikio.
Ufikiaji wa Batli ya Usambazaji Faksi: Faksi > Menyu > Kumbukumbu ya Upitishaji
Dhibiti onyesho la historia ya mawasiliano ya faksi. Teua Washa ili kuonyesha historia ya mawasiliano.
Ufikiaji wa Ripoti ya Faksi: Faksi > Menyu > Ripoti ya Faksi
Dhibiti uchapishaji wa ripoti ya faksi. Teua Washa ili kuruhusu kuchapisha.
Ufikiaji wa Chapisha Historia ya Kuh. Cha. kwa Folda/FTP ya Mt'o: Changanua > Kwenye Kabrasha la Mtandao/FTP > Menyu > Chapisha Historia ya Kuhifadhi
Dhibiti uchapishaji wa historia ya kuhifadhi kwa utambazaji kwenye kitendaji cha kabrasha la mtandao. Teua Washa ili kuruhusu uchapishaji.
Ufikiaji wa hivi karibuni wa Changanua kwa Barua pepe: Changanua > Kwenye Barua Pepe > Mpokeaji
Dhibiti onyesho la historia kwa utambazaji kwa kitendaji cha barua. Teua Washa ili kuonyesha historia.
Ufikiaji wa Onyesha Historia ya Zilizotumwa ya Changanua kwa Barua pepe: Changanua > Kwenye Barua Pepe > Menyu > Onyesha Historia ya Kutuma
Dhibiti onyesho la historia ya kutuma barua pepe kwa utambazaji kwa kitendaji cha barua. Teua Washa ili kuonyesha historia ya utumaji barua.
Ufikiaji wa Chapisha Historia ya Zilizotumwa ya Changanua kwa Barua pepe: Changanua > Kwenye Barua Pepe > Menyu > Chapisha Historia ya Kutuma
Dhibiti uchapishaji wa historia ya kutuma barua pepe kwa utambazaji kwa kitendaji cha barua. Teua Washa ili kuruhusu uchapishaji.
Ufikiaji wa Lugha: Mipangilio > Lugha/Language
Dhibiti mabadiliko ya lugha iliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti. Teua Washa ili kubadilisha lugha.
Ufikiaji wa Karatasi Nyembamba: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Karatasi Nyembamba
Dhibiti mabadiliko ya mipangilio ya kitendaji cha Karatasi Nyembamba. Teua Washa ili kubadilisha mipangilio.
Ufikiaji wa Hali Tulivu: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Hali Tulivu
Dhibiti mabadiliko ya mipangilio ya kitendaji cha Hali Tulivu. Teua Washa ili kubadilisha mipangilio.
Ufikiaji wa Kipaumbele cha Kasi ya Kuchapisha: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Ki'bele cha Kasi ya Uc'pishaji
Dhibiti mabadiliko ya mipangilio ya kitendaji cha Ki'bele cha Kasi ya Uc'pishaji. Teua Washa ili kubadilisha mipangilio.
Ulinzi wa Data ya Kibinafsi:
Dhibiti onyesho la maelezo ya ufikio ambapo njia ya folda imebainishwa. Teua Washa ili kuonyesha ufikio kama (***).
Ruhusu Ufikiaji wa Trei ya Towe ya Kunakili: Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Towe: Nakala
Dhibiti ubadilishaji wa mahali pa kutoa unaponakili. Teua Washa ili kubadilisha mipangilio.
Inapatikana wakati kihitimishi cha stepla kinasakinishwa.
Kubali Zima Nishati:
Dhibiti ruhusa ya kuzima kichapishi. Teua Washa ili kuiruhusu kuzima.