Huonyesha orodha ya vipengee vilivyowekwa sasa kwenye vichupo vya Kuu, Kukamilisha, na Chaguo Zaidi. Unaweza kuonyesha au kuficha skrini ya sasa ya orodha ya mipangilio.
Rejesha Chaguo-msingi
Rejesha mipangilio yote katika thamani chaguomsingi za kiwanda. Mipangilio kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi pia inawekwa upya kwa chaguo-msingi yake.
Aina ya Uchapishaji
Teua iwapo utarejesha data ya chapisho kwenye kichapishi.
Uchapishaji wa Kawaida
Uchapishaji unaanza bila kuhifadhi.
Kazi ya Siri
Nenosiri hulinda nyaraka za siri unapochapisha. Iwapo utatumia kipengele hiki, data ya kuchapisha inahifadhiwa kwenye kichapishi na inaweza kuchapishwa tu baada ya nenosiri kuingizwa kwa kutumia paneli dhibiti ya kichapishi. Bofya Settings ili kubadilisha mipangilio.
Thibitisha Kazi
Unapochapisha nakala nyingi, hukuwezesha kuchapisha nakala moja ili kuangalia maudhui. Ili kuchapisha baada ya kutoa nakala ya pili, endesha paneli dhibiti ya kichapishi.
Bofya Mipangilio ili kuweka Jina la Mtumiaji na Jina la Kazi.
Chapisha Kazi Upya
Hukuwezesha kuhifadhi kazi ya uchapishaji kwenye kumbukumbu ya kichapishi. Unaweza kuanza kuchapisha kwa kuendesha paneli ya udhibiti ya kichapishi.
Bofya Mipangilio ili kuweka Jina la Mtumiaji na Jina la Kazi.
Hifadhi kwenye Hifadhi
Unaweza kuhifadhi data inayopaswa kuchapishwa kwenye hifadhi na uichapishe baadaye.
Hifadhi kwenye Hifadhi na Uchapishe
Unaweza kuhifadhi data ya uchapishaji kwenye hifadhi unapochapishaji.
Chanzo cha K'tasi
Teua chanzo cha karatasi ambacho karatasi huingizwa. Teua Uteuzi Otomatiki ili kuteua kiotomatiki chanzo cha karatasi kilichoteuliwa kwenye mipangilio ya kichapishi.
Laha ya Kufunga/Karatasi ya Kugawanya
Unaweza kuchagua iwapo utachapisha kwenye jalada la mbele na jalada la nyuma au la. Unaweza pia kuteua vyanzo anuwai vya karatasi kwa kurasa kwenye waraka wako. Ukiteua Karatasi Tupu/Kifungu, na kisha ubofye Mipangilio, unaweza kuweka mipangilio ya kina.
Unaweza kuweka mipangilio ya kuingiza laha ya kutenganisha kati ya nakala na kazi.
Trei ya Zao
Teua trei towe unayotaka kutumia kwa machapisho. Trei towe inaweza kuteuliwa kiotomatiki kulingana na mipangilio mingine ya uchapishaji.
Panga
Teua jinsi ya kupanga nakala nyingi.
Geuza Mpangilio
Huweka kwenye mpororo machapisho mbadala kwenye mwelekeo wa taswira na mwelekeo wa mandhari. Ili kutumia kipengele hiki, teua Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Chanzo cha K'tasi na Uteuzi Otomatiki au Trei ya Kuangalisha Chini kama mpangilio wa Trei ya Zao. Machapihso yanawekwa kwenye mpororo kwenye trei inayoangalia upande wa chini.
Upangaji Hamishi
Huondoa kila seti ya nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati umeteua Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kuwa mpangilio wa Trei ya Zao. Inapatikana wakati kikamilishi cha hiari kimesakinishwa.
Bana kwa stepla
Teua eneo la stepla. Inapatikana wakati kikamilishi cha hiari kimesakinishwa.
Toboa
Teua eneo la shimo linalotobolewa. Inapatikana wakati kikamilishi na kitengo cha kutoboa cha hiari zimesakinishwa.
Kunja/Stichi ya Seruji
Teua iwapo unataka kukunja au kukunja na kutaraza machapisho. Unaweza kuweka ukingo wa uunganishaji, pambizo la uunganishaji na kuunda vijitabu vilivyokunjwa kwenye skrini ya mpangilio wa uunganishaji. Pia unaweza kukunja mara tatu. Inapatikana wakati kihitimishi cha stepla na kitengo cha nyaya cha hiari zimesakinishwa.
Booklet Settings
Unaweza kuweka aina ya uunganishaji wa mshono wa tandiko, ukingo wa kuunganisha, uchapishaji wa jalada, kuongeza nambari za ukurasa, na kadhalika.
Ukubwa Uliochanganywa wa Karatasi
Wakati ukubwa wa waraka ufuatao umechanganywa, huweka kwenye mpororo machapisho kwa kupanga ukingo mfupi wa karatasi kubwa na ukingo mrefu wa karatasi ndogo. Teua Bainisha Mwelekeo, na kisha ubofye Mipangilio ili kuweka mwelekeo wa karatasi na pambizo ya uunganishaji.