Teua Nakili kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Seti za Chapisho.
Teua kikundi ambacho unataka kuondoa kutoka kwenye orodha, na kisha uteue Futa.