Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.
Tunapendekeza uangalie hali ya kichapishi kwenye Kazi/Hali, iwapo kichapishi kwa sasa kinapokea faksi au la.
Suluhisho
Iwapo kifaa cha simu cha nje kimeunganishwa kwenye kichapishi na kinashiriki laini ya simu na kichapishi, teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi, na kisha uweke Hali ya Kupokea iwe Otomatiki.
Suluhisho
Unapopokea faksi kutumia kipengele cha anwani ndogo, thibitisha kuwa anwani ndogo na nywila ni sahihi.
Thibitisha na mtumaji kuwa anwani ndogo na nywila zinalingana.
Ili kubadilisha anwani ndogo au nenosiri, teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini, teua kisanduku cha siri kinachoendana na mipangilio, na kisha kuweka Hali sahihi.
Suluhisho
Hakikisha kuwa nambari ya mtyumaji inaweza kufutwa kutoka kwenye Orodha ya Nambari Zilizozuiwa kabla ya kuifuta. Ifute kutoka kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Hariri Orodha ya Nambari Zilizozuiwa. Au lemaza Orodha ya Nambari Zilizozuiwa kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Faksi ya Kukataliwa. Faksi zilizotumwa kutoka kwenye nambari ambazo zimesajiliwa kwenye orodha hii zimezuiwa wakati mpangilio huu umewezeshwa.
Suluhisho
Sajili nambari ya faksi ya mtumaji kwenye orodha ya mwasiliani. Au kulemaza Mp. simu hay. ktk W'ni kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Faksi ya Kukataliwa. Faksi zilizotumwa kutoka kwenye nambari ambazo hazijasajiliwa kwenye orodha hii zimezuiwa wakati mpangilio huu umewezeshwa.
Suluhisho
Uliza mtumaji iwapo maelezo yamesanidiwa kwenye mashine yake ya faksi. Au, kulemaza Kijajuu cha Faksi kiko Tupu kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Faksi ya Kukataliwa. Faksi ambazo hazijumuishi maelezo ya kijajuu zimezuiwa wakati mpangilio huu umewezeshwa.