Hukuwezesha kupunguza au kuongeza ukubwa wa waraka.
Fonti ya Aina ya Ukweli
Huweka mabadiliko ya fonti hadi Fonti ya TrueType.
Chaguo za Waraka
Vipengele Mahiri vya Uchapishaji
Hukuwezesha kuunda mipangilio kwa vipengele vya uchapishaji.
Chaguo za PostScript
Hukuwezesha kuunda mipangilio ya hiari.
Vipengele vya Kichapishi
Weka vipengee vifuatavyo vya menyu.
Output Tray
Teua trei towe unayotaka kutumia kwa machapisho.
Sort
Teua jinsi ya kupanga nakala nyingi.
Upangaji Hamishi: Huondoa kila kikundi cha nakala. Unaweza kuteua chaguo hili tu wakati umeteua Uteuzi Otomatiki au Trei Kamilishi kuwa mpangilio wa Trei ya Zao. Inapatikana wakati kikamilishi cha hiari kimesakinishwa.
Geuza Mpangilio: Huweka kwenye mpororo machapisho mbadala kwenye mwelekeo wa taswira na mwelekeo wa mandhari. Ili kutumia kipengele hiki, teua Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Chanzo cha K'tasi na Uteuzi Otomatiki au Trei ya Kuangalisha Chini kama mpangilio wa Trei ya Zao. Machapihso yanawekwa kwenye mpororo kwenye trei inayoangalia upande wa chini.
Bana kwa stepla
Teua eneo la stepla. Inapatikana wakati kikamilishi cha hiari kimesakinishwa.
Toboa
Teua eneo la shimo linalotobolewa. Inapatikana wakati kikamilishi na kitengo cha kutoboa cha hiari zimesakinishwa.
Kunja/Stichi ya Seruji
Teua iwapo unataka kukunja au kukunja na kutaraza machapisho. Inapatikana wakati kihitimishi cha stepla na kitengo cha nyaya cha hiari zimesakinishwa.
Color Mode
Teua iwapo utachapisha kwenye rangi au katika monokromu.
Press Simulation
Unaweza kuteua rangi ya wino ya CMYK ya kuiga wakati unachapisha kwa kupunguza rangi ya wino ya CMYK ya chombo cha kutoa.