Vipengee vya Mpangilio wa Hifadhi

Kipengee

Kuweka thamani na Ufafanuzi

Shared Folder Access Control

Access

Chagua iwapo utaruhusu watumiaji kutumia folda zilizoshirikiwa (za kudumu).

Iwapo utachagua Not Allowed, kitendaji cha Hifadhi hakionyeshwi kwenye skrini ya printa.

Operation Authority

Iwapo utaruhusu matumizi ya folda (za kudumu), chagua iwapo kuidhinisha kuunda, kurekebisha, na kufuta vikasha vya mtumiaji pekee kwa wazimamizi au kwa watumiaji pia.

Iwapo User atachaguliwa, mtumiaji anaweza kutekeleza operesheni zinazohusiana na folda zilizoshirkiwa (za kudumu).

Iwapo utateua Administrator Only, menyu ya operesheni ya folda zilizoshirikiwa (za kudumu) haionyeshwi kwenye skrini ya printa, na menyu itaonyeshwa tu unapoingia kama msimamizi.

Automatic Delete Setting Authority

Iwapo utaruhusu matumizi ya folda zilizoshirikiwa (za kudumu), teua kuzuia mpangilio wa ufutaji otomatiki wa faili zilizohifadhiwa kwa wasimamizi au watumiaji.

Iwapo mamlaka ya operesheni kwa folda zlizoshirikiwa yatawekwa kama msimamizi pekee, Administrator Only atachaguliwa kwa kipengee hiki pia.

Shared Folder File Management

Apply to All Shared Folders

Teua kipengee hiki iwapo unataka kuakisi maudhui ya mipangilio ya kufuta otomatiki waraka kwa kikasha cha umma kilichowekwa chini kwenye folda zote zilizoshirikiwa.

Kipengee hiki hakijahifadhiwa na kikasha cha uteuzi kitafutwa wakati mipangilio imetumwa kwenye printa.

Automatic File Deletion

Teua iwapo utafuta faili zilizohifadhiwa kiotomatiki au la.

Unit

Iwapo Automatic File Deletion imewashwa, teua iwapo utafuta kila saa au kila siku.

Period Until Deletion

Iwapo Automatic File Deletion imewashwa, bainisha siku au saa ya kufuta kulingana na kitengo kilichowekwa.

Personal Folder File Management

Automatic File Deletion

Teua iwapo utafuta faili zilizohifadhiwa kwenye Faili ya Folda ya Kibinafsi kiotomatiki.

Unit

Iwapo Automatic File Deletion imewashwa, teua iwapo utafuta kila saa au kila siku.

Period Until Deletion

Iwapo Automatic File Deletion imewashwa, bainisha siku au saa ya kufuta kulingana na kitengo kilichowekwa.

Additional Action

Delete File after Output

Teua iwapo faili zitafutwa baada ya uchapishaji au kuhifadhiwa au la.

Access Control

Bainisha iwapo utaruhusu mipangilio ya kufuta faili baada ya towe kubadilishwa au la.

Wakati Ruhusu imeteuliwa, kisanduku cha kuteua huonyeshwa kwenye skrini ya Orodha ya Faili na unaweza kuteua iwapo utafuta faili baada ya uchapishaji au kuhifadhi.

Access from Web Config

Weka iwapo utaruhusu mtumiaji kuendesha kitendaji cha Hifadhi kutoka kwenye kompyuta kwa kutumia Web Config.

Iwapo umeteua Allowed, mtumiaji ataweza kufikia na kutumia vitendaji kwenye kichupo cha Storage kutoka kwenye skrini ya Web Config.

Iwapo utateua Allowed when Logged in, utaweza kufikia kichupo cha Storage unapoingia ukitumia Web Config. Kwanza, unahitaji kufanya mipangilio ifuatayo kwenye Product Security > Access Control Settings > Basic.

  • Teua Enables Access Control.

  • Teua Allow registered users to log in to Web Config.

  • Sajili watumiaji wanaoruhusiwa kutumia kitendaji cha Storage kwenye User Settings.

Iwapo utateua Not Allowed, mtumiaji anaweza kuendesha tu kitendaji cha Hifadhi kwenye printa.