Soma na ufuate maelekezo haya ili uhakikishe matumizi salama ya printa hii. Weka mwongozo huu kwa marejeleo ya siku zijazo. Pia, hakikisha unafuata maonyo na maelekezo yote yaliyowekwa kwenye printa.
Baadhi ya alama zinazotumika kwenye printa yako ni za kuhakikisha usalama na matumizi sahihi ya printa. Tembelea Tovuti ifuatayo ili ujifunze maana ya alama hizi.