Kuchanganua ukitumia kipengele cha OCR Option, weka OCR kuwa Washa katika mipangilio ya kuchanganua kwenye paneli dhibiti.
|
Jina |
OCR Option |
Maelezo Husika |
|---|---|---|
|
Kwenye Kabrasha la Mtandao/FTP |
✓ |
|
|
Kwenye Barua Pepe |
✓ |
|
|
Kwenye Kompyuta |
- |
|
|
Kwenye Kifaa cha Kumbukumbu |
✓ |
|
|
Kwenye Wingu |
- |
|
|
Kwenye Hifadhi |
- |
|
|
Kuhamisha kwenye Folda/FTP ya Mtandao |
✓ |
|
|
Kuhamisha kwenye Barua Pepe |
✓ |
|
|
Kuhamisha kwenye Kifaa cha Kumbukumbu |
✓ |
|
|
Kuhamisha kwenye Wingu |
- |
|
|
Tamb. kw. Barua Yangu (unapotumia Epson Print Admin Serverless) |
✓ |
|
|
Tamb. kw. Kabr. Langu (unapotumia Epson Print Admin Serverless) |
✓ |
✓ = Inapatikana.
- = Haipatikani.