Unaweza kutengeneza mipangilio ya kutazama na kutafuta orodha ya mwasiliani.
Weka anwani ya IP ya kichapishi katika kivinjari ili kufikia Web Config.
Ingiza anwani ya IP ya kichapishi kutoka kwa kompyuta ambayo imeunganishwa kwenye mtandao sawa na wa kichapishi.
Unaweza kuangalia anwani ya IP ya kichapishi kutoka kwa menyu inayofuata.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > (Wastani) > Hali ya Mtandao > Hali ya LAN/Wi-Fi ya Waya
Ingiza nenosiri la msimamizi ili kuingia kama msimamizi.
Teua kwenye orodha inayofuata.
Kichupo cha Device Management > Contacts Manager
Teua View Options.
Teua Search Options.
Badilisha jina la kategoria inapohitajika.
Ingiza vibambo kati ya 1 na 20. Unaweza kutumia vibambo vya baiti mbili na pia vibambo vya baiti moja.
Bofya OK.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.