Kuhamisha Waasiliani kwa Kutumia Web Config

Huenda data ya awani iwa imefutwa kwa sababu ya hitifalu ya printa. Tunapendekeza kwamba uakibishe data unaposasisha data. Epson haitawajibika kwa kupotea kwa data yoyote, kwa kuakibisha au urejeshi wa tara na/au mipangilio hata wakati wa muda wa udhamini.

Kwa kutumia Web Config, Unaweza kucheleza data ya mawasiliano iliyohifadhiwa kwenye printa hadi kwa kompyuta.

  1. Weka anwani ya IP ya kichapishi katika kivinjari ili kufikia Web Config.

    Ingiza anwani ya IP ya mtandao (kamili/wa ziada) ambao unataka kusanidi kutoka kwa kompyuta ambayo imeunganishwa kwenye mtandao sawa na wa kichapishi.

    Unaweza kuangalia anwani ya IP ya kichapishi kutoka kwa menyu inayofuata.

    Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > (Wastani au Ya Ziada) > Hali ya Mtandao > Hali ya LAN/Wi-Fi ya Waya

  2. Ingiza nenosiri la msimamizi ili kuingia kama msimamizi.

  3. Teua kwenye orodha inayofuata.

    Kichupo cha Device Management > Export and Import Setting Value > Export

  4. Teua mojawapo ya vikasha teuzi vya Contacts.

    Kwa mfano, iwapo utateua Contacts chini ya kategoria Scan/Copy, kikasha teuzi hicho chini ya kategoria ya Fax pia kinateuliwa.

  5. Ingiza nenosiri ili kusimba fiche faili iliyohamishwa.

    Unahitaji nenosiri ili kuleta faili. Acha hii tupu iwapo hutaki kusimba fiche faili.

  6. Bofya Export.