> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Bidhaa Tumika > Msimbo wa Rola za Uchukuaji

Msimbo wa Rola za Uchukuaji

Epson inapendekeza utumie rola halali za uchukuaji za Epson.

Ifuatayo ni misimbo.

Kwa nchi zote isipokuwa India, Bangladesh, Sri Lanka na Nepali

Rola ya Mlisho wa Karatasi kwa Kaseti: C12C937321

Rola ya Mlisho wa Karatasi kwa Trei ya Karatasi: C12C937361

Rola ya Mlisho wa Karatasi kwa ADF: C12C937341

Kwa ajili ya India, Bangladesh, Sri Lanka na Nepali

Rola ya Mlisho wa Karatasi kwa Kaseti: C12C937331

Rola ya Mlisho wa Karatasi kwa Trei ya Karatasi: C12C937371

Rola ya Mlisho wa Karatasi kwa ADF: C12C937351

Kumbuka:

Wasiliana na Usaidizi wa Epson ili upate rola zako mpya za uchukuaji.