Kuwezesha Kutuma na Kupokea Faksi za IP kwenye Intranet (Mipangilio ya Intranet) <Epson Device Admin>

Unahitaji kuweka mipangilio ifuatayo ili kutuma na kupokea faksi za IP kwenye intranet.

  • Kuweka maelezo ya SIP kwa printa

  • Kuweka seva ya SIP (unapotumia seva ya SIP)

  1. Teua Fax > IP-FAX Settings > LAN Settings kutoka kwenye kiolezo cha kusanidi.

  2. Teua kila kipengee.

    Tazama maelezo husika ya vipengee.