Teua Hifadhi kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua folda iliyo na faili unayotaka kuchapisha, kisha teua Fungua.
Teua faili kisha uteue Mipangilio ya Chapa.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi na kisha uteue Otomatiki au Rangi, Ny'i na Ny'pe.
Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Seti za Chapisho.
Teua kikundi ambacho unataka kutumia kutoka kwenye orodha, na kisha uteue Sawa.
Ukiteua Hariri, unaweza kubadilisha kwa muda mipangilio ya Seti za Uchapishaji.
Weka mipangilio ya kuchapisha ikiwa ni muhimu.
Donoa
.