| Mipangilio ya Faksi | ||||||
| Kitufe cha Matumizi ya Haraka |
Huonyesha vipengee vinne vinavyotumika mara kwa mara kama vile Kumbukumbu ya Upitishaji na Aina Asili. Hii hukuruhusu kuunda mipangilio haraka na rahisi. Lazima upangie vipengee mapema kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Mtumiaji > Kitufe cha Matumizi ya Haraka |
|||||
| Mipangilio ya Utambazaji | ||||||
| Ukubwa Asili (Glasi) |
Teua ukubwa na uelekeo wa waraka halisi uliyowekwa kwenye glasi ya kichanganuzi. |
|||||
| Aina Asili |
Teua aina ya nakala yako asili. |
|||||
| Hali ya Rangi |
Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika monokromu. |
|||||
| Mwonekano |
Teua mwonekano wa faksi inayotoka. Iwapo utateua mwonekano wa juu, ukubwa wa data unakuwa mkubwa na inachukua muda ili kutuma faksi. |
|||||
| Uzito |
Huweka uzito wa faksi inayotoka. + hufanya uzito kolevu zaidi, na - huufanya mwepesi. |
|||||
| Ondoa Mand'yuma |
Teua ukolevu wa mandharinyuma. Donoa + ili kuongeza mwangaza (weupe) kwenye mandharinyuma na udonoe - ili kuikoleza (kuongeza weusi). Iwapo utateua Otomatiki, rangi za mandharinyuma za nakala asili zimetambuliwa, na zinaondolewa au kufifishwa kiotomatiki. Haitekelezwi sahihi iwapo rangi ya mandharinyuma ni kolevu zaidi au haijatambulika. |
|||||
| Ukali |
Huboresha au kuondoa ulengaji wa muhtasari wa taswira. + huboresha kali, na - huondoa ulengaji wa ukali. |
|||||
| ADF Pande 2 |
Huchanganua pande zote za hati halisi zilizowekwa katika ADF na kutuma faksi ya rangi moja. |
|||||
| Uta'ji Unao'a ADF |
Wakati unatuma faksi kutoka kwenye ADF, huwezi kuongeza hati halisi katika ADF, baada ya kuanzisha uchanganuzi. Ukiweka hati halisi zenye ukubwa tofauti katika ADF, hati zote halisi hutumwa kwa ukubwa wa juu zaidi kati ya hizo. Wezesha chaguo hili ili printa ikuulize ikiwa unataka kuchanganua ukurasa mwingine baada ya hati halisi katika ADF imemaliza kuchanganua. Kisha unaweza kuchambua na kuchanganua hati zako halisi kwa ukubwa na kuzituma kama faksi moja. Kutuma Nyaraka zenye Ukubwa Tofauti kwa Kutumia ADF (Uta'ji Unao'a ADF) |
|||||
| Mipangilio ya Kutuma Faksi | ||||||
| Tuma Moja kwa Moja |
Hutuma faksi ya rangi moja inapotambaza nakala asili. Kwa kuwa nakala asili zilizotambazwa hazihifadhiwi kwa muda kwenye kumbukumbu ya kichapishi hata wakati wa kutuma kiwango kikubwa cha kurasa, unaweza kuzuia makosa ya kichapishi kwa sababu ya kutokuwa na kumbukumbu. Kumbuka kuwa kutuma kwa kutumia kipengele hiki huchukua muda mrefu kuliko kutotumia kipengele hiki. Huwezi kutumia kipengee hiki wakati:
Kutuma Kurasa Nyingi za Hati Yenye Rangi Moja (Tuma Moja kwa Moja) |
|||||
| Kipaumbele cha Kutuma |
Hutuma faksi ya sasa kabla ya faksi nyingine zinazosubiri kutumwa. |
|||||
| Tuma Faksi Baadaye |
Hutuma faksi wakati ambao ulibainisha. Faksi ya rangi moja tu ndio inayopatikana wakati unatumia chaguo hili. Kutuma Faksi kwenye Rangi moja katika Muda wa Siku Uliobainishwa (Tuma Faksi Baadaye) |
|||||
| Ongeza Maelezo ya Mtumaji |
|
|||||
| Niarifu kuhusu Matokeo ya Kutuma |
Hutuma taarifa baada ya kutuma faksi. |
|||||
| Ripoti ya Upitishaji |
Huchapisha ripoti ya usambazaji baada ya wewe kutuma faksi. Chapisha Hitilafu Ikitokea huchapisha ripoti wakati kosa hutokea tu. Wakati Ambatisha Taswira ya Faksi kwenye ripoti imewekwa kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Ripoti, faksi zilizo na makosa pia huchapisha pamoja na ripoti. |
|||||
| Chelezo |
Huhifadhi chelezo cha faksi iliyotumwa ambayo imetambazwa na kuhifadhiwa kwenye kumbukumbu ya kichapishi kiotomatiki. Kipengele cha chelezo kinapatikana katika hali zifuatazo.
|
|||||
| Mfikio wa Chelezo |
Teua mafikio ya chelezo. |
|||||
| Jina la Faili |
Bainisha jina la nyaraka itakayohifadhiwa kwenye kikasha cha Nyaraka Zilizohifadhiwa na kikasha cha Tuma Kura/Ubao. |
|||||