> Kutuma Faksi (Vichapishi vinavyotuma Faksi Pekee) > Upanuzi wa Faksi ya G3 (Hiari) > KKuangalia Hali ya Laini (Wakati Bodi za Hiari za Faksi Zimesakinishwa)

KKuangalia Hali ya Laini (Wakati Bodi za Hiari za Faksi Zimesakinishwa)

Unaweza kuangalia hali ya kila laini ya faksi kama vile iwapo iko tayari au inatumika.

Ili kuonyesha menyu hii, donoa Kazi/Hali kwenye skrini ya nyumbani katika paneli dhibiti ya kichapishi, kisha uteue Hali ya Printa > Chaguo.