Unaweza kupanga kwa kuondoa kila seti ya nakala.
Kipengele hiki kinapatikana na kihitimishi cha hiari.

Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue Kumalizia.
Teua Badilisha Mpangilio kwenye Toa Karatasi, na kisha uteue Sawa.
Weka idadi ya nakala.
Donoa
.