|
Jina la Kipengele |
Ufafanuzi |
|---|---|
|
Futa rangi nyekundu |
Unaweza kunakili au kuchanganua na kufuta vidokezo vyekundu kutoka kwemye nakala. Hii ni rahisi unapotaka kufuta vidokezo vyekundu kwenye nyaraka yako na kurejesha nakala asili. |
|
Seti za Uchapishaji |
Kwa kutumia kipengele cha Seti za Uchapishaji, unaweza kuchapisha au kunakili bila kuingiza idadi ya nakala kila wakati. Unaweza pia kuchapisha data iliyohifadhiwa katika hifadhi ukitumia kipengele hiki. Unapochapisha kutoka kwa kompyuta, unaweza kutumia kipengele hiki bila kusajili ufunguo wa leseni. |
|
OCR Option |
OCR huunda nyaraka za kielektroniki zinazoweza kutafutwa na zinazoweza kuhaririwa kutoka kwa nakala asili zilizochanganuliwa. |
|
Faksi ya IP |
Faksi ya IP ni kipengele cha faksi cha kuwasiliana na vifaa tangamanifu vya faksi ya IP kwenye mtandao wa IP (intraneti) au vifaa tangamanifu vya faksi ya G3 kupitia kiunganishi. Kwa kuwa data hutumwa na kupokelewa kupitia mtandao wa IP, hakuna gharama ya mawasiliano ambayo hutokea katika usambazaji wa kawaida wa faksi. |
|
Epson Print Admin Serverless |
Unaweza kutumia uchapishaji wa uhalalishaji bila seva. Unaweza kuingia na kuchapisha bila data yako kuonekana na mtu mwingine. Ukiingia na kuchanganua, unaweza kutuma matokeo ya uchanganuzi kwa barua pepe iliyosajiliwa au kuyahifadhi kwenye folda ya kibinafsi iliyosajiliwa. |