Unaweza kubadilisha jina na mipangilio ya kikundi kilichohifadhiwa.
Unaweza pia kuhariri vikundi ambavyo vimehifadhiwa katika hifadhi.
Teua Nakili kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua kichupo cha Mahiri, na kisha uteue Seti za Chapisho.
Teua kikundi ambacho unataka kubadilisha kutoka kwenye orodha, na kisha uteue Sajili/Futa.
Weka mipangilio ifiatayo kama inavyofaa.
Teua Sawa ili kuhifadhi.