> Kutatua Matatizo > Haiweza Kuchapisha, Kunakili, Kuchanganua au Kutuma Faksi > Karatasi Haiingii au Kutoka Vilivyo > Karatasi Iliyobanwa kwa Stepla Haijapangiliwa vilivyo (Unapotumia Kihitimishi cha Ndani)

Karatasi Iliyobanwa kwa Stepla Haijapangiliwa vilivyo (Unapotumia Kihitimishi cha Ndani)

Fanya marekebisho kulingana na aina ya karatasi isiyopangiliwa vilivyo.

Kumbuka:

Marekebisho yanapatikana tu wakati ukubwa wa karatasi ni Barua ya , A4 , B5 , au 16K .

Wakati kuna mpangilio mbaya wa ngazi
  • Paneli Dhibiti

    1. Teua menyu ifuatayo kwenye skrini ya nyumbani.

    Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Boresha Ukamilishaji

    2. Donoa au kwenye Lainisha na Stepla ili kuweka thamani ya marekebisho kwa 2 au 1 na kisha uchapishe.

  • Kiendeshi cha kichapishi (Windows)

    1. Teua yafuatayo.

    Kichupo cha Utunzaji > Mipangilio Iliyorefushwa > Sadifisha Umalizaji > Zima

    2. Bofya Mipangilio ili kuonyesha skrini ya marekebisho.

    Mipangilio iinapatikana wakati chaguo kando na Zima limeteuliwa kwenye Bana kwa stepla kwemye kichupo cha Kukamilisha.

    3. Hamisha mwambaa wa kutelezesha ili kuweka thamani ya marekebisho kwa 2 au 1 na kisha uchapishe.

  • Kiendeshi cha kichapishi (Mac OS)

    1. Teua Mapendeleo ya Mfumo (au Mipangilio ya Mfumo) kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vichanganuzi (au Chapisha na Uchanganue, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi.

    2. Teua Machaguo na Usambazaji > Machaguo > Boresha Ukamilishaji > Off, na kisha ubofye SAWA.

    3. Teua Paper Configuration > Sadifisha Umalizaji kwenye kidadisi cha kuchapisha, hamisha mwambaa wa kutelezesha ili kuweka thamani ya marekebisho kwa 2 au 1 na kisha uchapishe.

    Mwambaa wa kutelezesha unapatikana wakati masharti yote yafuatayo yanatimizwa.

    • Kihitimishi cha Ndani kimeteuliwa kwenye Machaguo na Bidhaa > Machaguo > Trei Towe za Hiari.

    • On au Off imeteuliwa kwenye Machaguo na Bidhaa > Machaguo > Sadifisha Umalizaji.

    • Kipengee kando na Off kinateuliwa kwenye Kuhitimisha — Stepla kwenye kidadisi cha chapisho.

Wakati kuna upangiliaji usio wa kawaida
  • Paneli Dhibiti

    1. Teua menyu ifuatayo kwenye skrini ya nyumbani.

    Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Boresha Ukamilishaji

    2. Weka Lainisha na Stepla > Mipangilio hadi Washa.

    3. Donoa au ili kuweka thamani ya marekebisho kwa 5 na kisha uchapishe.

    Iwapo kuna mpangilio mbaya wa ngazi baada ya marekebisho, weka thamani ya marekebisho kwa 4 au 3 na kisha uchapishe.

  • Kiendeshi cha kichapishi (Windows)

    1. Teua Washa kwenye Sadifisha Umalizaji kutoka kwenye menyu ifuatayo, na kisha ubofye Mipangilio.

    Kichupo cha Utunzaji > Mipangilio Iliyorefushwa > Sadifisha Umalizaji

    Mipangilio iinapatikana wakati chaguo kando na Zima limeteuliwa kwenye Bana kwa stepla kwemye kichupo cha Kukamilisha.

    2. Hamisha mwambaa wa kutelezesha ili kuweka thamani ya marekebisho kwa 5, na kisha uchapishe.

    Iwapo kuna mpangilio mbaya wa ngazi baada ya marekebisho, weka mwambaa wa kutelezesha kwa 4 au 3 na kisha uchapishe.

  • Kiendeshi cha kichapishi (Mac OS)

    1. Teua Mapendeleo ya Mfumo (au Mipangilio ya Mfumo) kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vichanganuzi (au Chapisha na Uchanganue, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi.

    2. Teua Machaguo na Usambazaji > Machaguo > Boresha Ukamilishaji > On, na kisha ubofye SAWA.

    3. Teua Paper Configuration > Sadifisha Umalizaji iwenye kidadisi cha kuchapisha, hamisha mwambaa wa kutelezesha ili kuweka thamani ya marekebisho kwa 5, na kisha uchapishe.

    Iwapo kuna mpangilio mbaya wa ngazi kama matokeo, weka thamani ya marekebisho kwa 4 au 3 na kisha uchapishe.

    Mwambaa wa kutelezesha unapatikana wakati masharti yote yafuatayo yanatimizwa.

    • Kihitimishi cha Ndani kimeteuliwa kwenye Machaguo na Bidhaa > Machaguo > Trei Towe za Hiari.

    • On au Off imeteuliwa kwenye Machaguo na Bidhaa > Machaguo > Sadifisha Umalizaji.

    • Kipengee kando na Zima kinateuliwa kwenye Kuhitimisha — Stepla kwenye kidadisi cha chapisho.