> Kuweka Karatasi > Kuweka Karatasi

Kuweka Karatasi

Unaweza kupakia karatasi kwa kurejelea uhuishaji unaoonyeshwa kwenye skrini ya LCD ya kichapishi.

Teua , kisha uteue Pakia karatasi chini ya Jinsi ya. Teua chanzo cha karatasi unachotaka kutumia, na kisha uteue Jinsi ya ili kuonyesha uhuishaji. Teua Funga ili kufunga skirini ya uhuishaji.

Muhimu:

Chomeka na uondoe kaseti ya karatasi polepole. Chomeka trei ya ukubwa wa juu polepole kwa sababu trei inapakiwa karatasi nyingi kwenye teri.

Kumbuka:

Unapobadilisha nafasi ya miongozo ya ukingo kwenye mkanda wa karatasi, fungua kufuli kwenye kaseti na kisha usogeze miongozo ya ukingo. Baada ya kubadilisha nafasi, funga tena kaseti.