Teua Pangiliza (Mpang'o wa Ukurasa) ili kuchapisha nyaraka za kurasa nyingi zilizochanganywa kwa mpangilio na kupangwa kwenye vikundi. Teua Kikundi (Kurasa Sawa) ili kuchapisha nyaraka za kurasa nyingi kwa kupata kurasa zenye nambari sawa kama kikundi.
Toa Karatasi
Teua Geuza Mpangilio ili kuchapisha mbadala kwenye uelekeo wa taswira kutoka kwenye chanzo cha karatasi moja na uelekeo wa mandhari kutoka kwenye chanzo cha karatasi jingine. Chagua Otomatiki kama Mipangilio ya K'si unapotumia kipengele hiki.
Ikiwa utachagua Badilisha Mpangilio, unaweza kupanga kila seti ya nakala. Inapatikana wakati kihitimishi cha hiari kimesakinishwa.
Bana kwa stepla
Teua eneo la stepla. Inapatikana wakati kihitimishi cha hiari kimesakinishwa.
Toboa
Teua mahali kwa mashimo ya kutobolewa. Inapatikana wakati kihitimishi kwa hiari na kitengo cha kupiga zimesakinishwa.
Mkunjo Nusu
Bainisha mipangilio hii unapotaka kufanya machapisho yakunjwe nusu.
Menyu hii inaonyeshwa tu wakati kitendaji cha ukunjaji nusu kimewezeshwa.
Mkunjo Nusu
Hukuruhusu kufanya machapisho yakunjwe nusu.
Kurasa kwa kila Kunja
Bainisha idadi ya kurasa za kukunja nusu.
Hali ya Kuchapisha
Teua iwapo utachapisha nje au ndani ya karatasi nusu lililokunjwa.
Mkunjo Mara Tatu
Bainisha mipangilio hii unapotaka kufanya machapisho yakunjwe mara tatu.
Menyu hii huonyeshwa tu wakati kipengele cha kukunja mara tatu kimewezeshwa.
Mkunjo Mara Tatu
Hukuruhusu kufanya machapisho yakunjwe mara nne.
Kurasa kwa kila Kunja
Bainisha idadi ya kurasa zilizokunjwa mara tatu.
Hali ya Kuchapisha
Teua iwapo utachapisha nje au ndani ya karatasi lililokunjwa mara tatu.
Kufunga
Teua mwelekeo wa kuweka pamoja.
Kunja

Tatua Picha
Teua modi hii ili kuboresha ung’avu, ulinganuzi, na ueneaji wa picha kiotomatiki. Zima uboreshaji otomatiki, teua Uboreshaji Umezimwa.
Tatua Jicho Nyekundu
Teua Washa ili kurekebisha athari ya jicho jekundu kwenye picha kiotomatiki. Marekebisho hayatekelezwi kwenye faili asili, kwenye machapisho tu. Kulingana na aina ya picha, sehemu za picha kando na macho zinaweza kurekebishwa.
Tarehe
Teua umbizo la tarehe ambayo picha ilipigwa au kuhifadhiwa. Tarehe haichapishwi kwa baadhi ya miundo.
Kuhifadhi Faili
Unaweza kuhifadhi data ya uchapishaji kwenye hifadhi.
Mpangilio:
Chaguo iwapo utahifadhi data ya uchapishaji pekee kwenye hifadhi au la.
Kabrasha (Inahitajika):
Chagua folda ambapo utahifadhi data ya uchapishaji.