> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili kwa Kuunda Vijitabu au Kupanga > Kuweka Mpororo kwa Kila Seti ya Nakala kwa Kubadilisha Kuzungusha Nyuzi 90

Kuweka Mpororo kwa Kila Seti ya Nakala kwa Kubadilisha Kuzungusha Nyuzi 90

Unaweza kupanga machapisho kwa kuyaweka mpororo kwa njia mbadala kwenye uelekeo wa taswira na uelekeo wa mandhari.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue Kumalizia.

  4. Teua Geuza Mpangilio kwenye Toa Karatasi.

    Angalia mipangilio ifuatayo unapotumia kipengele hiki.

    • Vyanzo viwili vya karatasi vinatumika. Pakia karatasi kwenye mwelekeo wa taswira kwenye chanzo kimoja cha karatasi, pakia karatasi kwenye mwelekeo wa mandhari katika chanzo kingine cha karatasi, na kisha uteue Otomatiki kama Mipangilio ya K'si kwenye Mipangilio Msingi.
    • Kwenye skrini ya nyumbani, teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Towe: Nakala, na uhakikishe kwamba Trei Inayoangalia Chini imeteuliwa.
  5. Weka idadi ya nakala.

  6. Donoa .