> Utangulizi wa Vipengele Mahiri > Futa rangi nyekundu > Kutumia Futa rangi nyekundu

Kutumia Futa rangi nyekundu

Kunakili

Tazama ifuatayo ili unakili ukitumia kipengele cha Futa rangi nyekundu.

Kufuta Vibambo Vyekundu wakati wa Kunakili

Utambazaji

Kuchanganua ukitumia kipengele cha Futa rangi nyekundu, weka Futa rangi nyekundu kuwa Washa katika mipangilio ya kuchanganua kwenye paneli dhibiti.

Jina

Futa rangi nyekundu

Maelezo Husika

Kwenye Kabrasha la Mtandao/FTP

Inatambaza Nakala Asili hadi kwenye Kabrasha ya Mtandao

Kwenye Barua Pepe

Kutambaza Nakala Asili kwenye Barua pepe

Kwenye Kompyuta

-

Kutambaza Nakala Asili kwenye Kompyuta

Kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Kutambaza Nakala Asili kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Kwenye Wingu

Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu

Kwenye Hifadhi

Kutambaza Nakala Asili kwenye Hifadhi

Kuhamisha kwenye Folda/FTP ya Mtandao

-

Kutumia Hifadhi

Kuhamisha kwenye Barua Pepe

-

Kuhamisha kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

-

Kuhamisha kwenye Wingu

-

Tamb. kw. Barua Yangu (unapotumia Epson Print Admin Serverless)

Kuhusu Utambazaji

Tamb. kw. Kabr. Langu (unapotumia Epson Print Admin Serverless)

✓ = Inapatikana.

- = Haipatikani.