Kwa kawaida, maandishi yaliyochanganuliwa huchukuliwa kama taswira. Kwa kutumia kipengele cha OCR Option, maandishi husomwa kama vibambo, kwa hivyo unaweza kunakili au kutafuta vibambo baada ya kuchanganua.