Sehemu hii inaelezea jinsi ya kuhifadhi picha zilizochanganuliwa kwenye kiendeshi cha USB kilichounganishwa kwenye kichapishi.
|
Operesheni Muhimu |
Eneo la Operesheni |
Fafanuzi |
|---|---|---|
|
1. Unganisha kiendeshi cha USB kwenye kichapishi |
Kichapishi |
Ingiza kiendeshi cha USB kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi. |
|
2. Changanua kutoka kwenye paneli dhibiti |
Paneli dhibiti ya kichapishi |
Unapochanganua kutoka kwenye peneli dhibiti. |