Unaweza kuchapisha na kupakua data iliyohifadhiwa kwenye hifadhi Web Config. Kutumia kipengele hiki, msimamizi anahitaji kuweka mipangilio katika Web Config. Wasiliana na msimamizi ili kukagua hali ya Web Config.
Endesha Web Config kwenye kompyuta, na kisha uteue kichupo cha Storage.
Teua folda iliyo na faili unayotaka kuchapisha.
Teua faili.
Teua Print au Download.