Donoa
kwenye skrini ya mwanzo na uteue Vifaa vinavyotumika/Nyingine kuonyesha makadirio ya viwango vya wino vilivyosalia na makadirio ya maisha ya huduma ya kikasha cha matengenezo.
Pia unaweza kuangalia makadirio ya viwango vya wino na makadirio ya maisha ya huduma ya kisanduku cha matengenezo kutoka kwenye kiwambo cha hali kwewnye kiendeshi cha kichapishi.
Windows
Bofya EPSON Status Monitor 3 kwenye kichupo cha Utunzaji.
Ikiwa EPSON Status Monitor 3 imelemazwa, unahitajika kusakinisha EPSON Status Monitor 3.
Mac OS
Apple menyu > Mapendeleo ya Mfumo (au Mipangilio ya Mfumo) > Vichapishi na Vichanganuzi (au Chapisha na Uchanganue, Chapisha na Utume Faksi) > Epson(XXXX) > Machaguo na Usambazaji > Matumizi > Fungua Matumizi ya Kichapishi > EPSON Status Monitor
Unaweza kuendelea kuchapisha wakati ujumbe wa kupungua kwa wino umeonyeshwa. Badilisha katriji za wino unapohitajika.