Unaweza kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili kuangalia hali kati ya kichapishi na kipanga njia pasiwaya.
Donoa
kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Wakati huwezi kuunganisha kwenye mtandao > Ukaguzi wa Muunganisho.
Donoa Ukaguzi wa Muunganisho.
Ukaguzi wa muunganisho unaanza.
Fuata maagizo kwenye skrini ya kichapishi ili kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao.
Ikiwa hitilafu imetokea, wasiliana na msimamizi wako.