| Mipangilio Msingi | |||||||
| Mwangaza wa LCD |
Rekebisha mwangaza wa skrini ya LCD. |
||||||
| Sauti | |||||||
| Nyamazisha |
Teua Washa ili kunyamazisha sauti kama zile zitolewazo na Ubonyezaji Kitufe. |
||||||
| Hali ya Kawaida |
Teua sauti kama vile Ubonyezaji Kitufe. |
||||||
| Toni ya Mlio |
Weka sauti ya wakati ambapo kichapishi kimepokea faksi. |
||||||
| Pokea Ilani ya Kukamilisha |
Weka sauti ya wakati ambapo kupokelewa kwa faksi kumeekamilika. |
||||||
| Chapisha Ilani ya Kukamilisha |
Weka sauti ya wakati wa ambapo uchapishaji wa faksi iliyopokelewa umekamilika. |
||||||
| Kipokeaji |
Weka sauti ya sauti ya kubofya wakati ambapo kichapishi kinatuma faksi. |
||||||
| Tuma Ilani ya Kukamilisha |
Weka sauti ya wakati wa ambapo kutuma faksi kutakamilika. |
||||||
| Ubonyezaji Kitufe |
Weka sauti unapodonoa vipengee kwenye skrini katika paneli dhibiti. |
||||||
| Seti ya Nyaraka ya ADF |
Weka sauti wakati nakala za kwanza zimewekwa katika ADF. |
||||||
| Ilani ya Ukamilisho |
Weka kiwango cha sauti wakati shughuli zimekamilika kwa usahihi. |
||||||
| Mlio wa kosa |
Weka sauti wakati kosa linatokea. |
||||||
| Ilani ya Kasoro ya Marudio |
Weka ikiwa sauti itarudiwa au kutorudiwa kwa toni ya hitilafu. |
||||||
| Aina ya Sauti |
Weka aina ya sauti. |
||||||
| Hali Tulivu |
Weka mipangilio ya sauti kwenye Hali Tulivu. |
||||||
| Toni ya Mlio |
Weka sauti ya wakati ambapo kichapishi kimepokea faksi. |
||||||
| Pokea Ilani ya Kukamilisha |
Weka sauti ya wakati ambapo kupokelewa kwa faksi kumeekamilika. |
||||||
| Chapisha Ilani ya Kukamilisha |
Weka sauti ya wakati wa ambapo uchapishaji wa faksi iliyopokelewa umekamilika. |
||||||
| Kipokeaji |
Weka sauti ya sauti ya kubofya wakati ambapo kichapishi kinatuma faksi. |
||||||
| Tuma Ilani ya Kukamilisha |
Weka sauti ya wakati wa ambapo kutuma faksi kutakamilika. |
||||||
| Ubonyezaji Kitufe |
Weka sauti unapodonoa vipengee kwenye skrini katika paneli dhibiti. |
||||||
| Seti ya Nyaraka ya ADF |
Weka sauti wakati nakala za kwanza zimewekwa katika ADF. |
||||||
| Ilani ya Ukamilisho |
Weka kiwango cha sauti wakati shughuli zimekamilika kwa usahihi. |
||||||
| Mlio wa kosa |
Weka sauti wakati kosa linatokea. |
||||||
| Ilani ya Kasoro ya Marudio |
Weka ikiwa sauti itarudiwa au kutorudiwa kwa toni ya hitilafu. |
||||||
| Aina ya Sauti |
Weka aina ya sauti. |
||||||
Kipima saa cha Kulala![]() |
Rekebisha kipindi cha muda cha kuingia kwenye modi ya kusinzia (modi ya kuhifadhi nishati) wakati kichapishi hakijatekeleza operesheni zozote. Skrini ya LCD inakuwa nyeusi wakati muda uliowekwa unapita. |
||||||
Kipima saa cha Kuzima Nishati![]() |
Huenda bidhaa yako ina kipengele hiki au kipengele cha Mip'ilio ya Kuzima kulingana na eneo la ununuzi. Teua mpangilio huu ili kuzima kichapishi kiotomatiki wakati hakijatumiwa kwa kipindi cha muda uliobainishwa. Unaweza kurekebisha muda kabla ya udhibiti wa nishati kutekelezwa. Uongezaji wowote utaathiri utumiaji wa nishati wa kifaa. Tafadhali zingatia mazingira kabla ya kufanya mabadiliko yoyote. |
||||||
Mip'ilio ya Kuzima![]() |
Huenda bidhaa yako ina kipengele hiki au kipengele cha Kipima saa cha Kuzima Nishati kulingana na eneo la ununuzi. |
||||||
| Zima Ikiwa Haitumiki |
Teua mpangilio huu ili kuzima kichapishi kiotomatiki iwapo hakijatumiwa kwa kipindi cha muda uliobainishwa. Unaweza kurekebisha muda kabla ya udhibiti wa nishati kutekelezwa. Uongezaji wowote utaathiri utumiaji wa nishati wa kifaa. Tafadhali zingatia mazingira kabla ya kufanya mabadiliko yoyote. |
||||||
| Zima ikiwa Imetenganishwa |
Teua mpangilio huu ili kuzima kichapishi baada ya kipindi cha muda uliobainishwa wakati vituo tarishi vyote vinajumuisha kituo tayarishi cha LINE vimetenganishwa. Kipengele hiki huenda kisipatiokane kulingana na eneo lako. Tazama tovuti inayofuata ili kupata kipindi cha muda uliobainishwa. https://www.epson.eu/energy-consumption Mpangilio huu hulemazwa wakati ubao wa ethaneti ya hiari au ubao wa faksi ya ziada umesakinishwa. |
||||||
Mipangilio ya Tarehe/Saa![]() |
|||||||
| Tarehe/Saa |
Ingiza tarehe na saa ya sasa. |
||||||
| Muda wa Kuokoa Mwanga wa Mchana |
Teua mpangilio wa wakati wa majira ya joto unaotumika katika eneo lako. |
||||||
| Utofauti wa Saa |
Ingiza tofauti ya saa kati ya saa yako ya ndani na UTC (Saa Inayoratibiwa ya Kimataifa). |
||||||
Nchi/Eneo![]() |
Teua nchi au eneo ambalo unatumia kichapishi chako. Iwapo utabadilisha nchi au eneo, mipangilio yako ya faksi inarejea kwa chaguo-msingi na lazima uiteue tena. |
||||||
Lugha/Language![]() |
Teua lugha inayotumiwa kwenye skrini ya LCD. |
||||||
Skrini ya Kuanza![]() |
Bainisha menyu ya kwanza inayoonyeshwa kwenye skrini ya LCD wakati kichapishi kinawaka na Muda wa Shughuli Umeisha imewezeshwa. |
||||||
Hariri Ukurasa wa Nyumbani![]() |
Badillisha muundo wa ikoni kwenye skrini ya LCD. Pia unaweza kuongeza, kuonmdoa, na kuhamisha ikoni. |
||||||
| Muundo |
Teua muundo wa skrini ya nyumbani. |
||||||
| Ongeza Ikoni |
Ongeza ikoni kwenye skrini ya mwanzo. |
||||||
| Ondoa Ikoni |
Ondoa ikoni kutoka kwa skrini ya mwanzo. |
||||||
| Sogeza Ikoni |
Hamisha ikoni kwenye skrini ya mwanzo. |
||||||
| Hatua za Haraka |
Unaweza kutumia mpangilio huu iwapo umeongeza ikoni ya njia ya mkato inayopakia uwekaji upya kwa kunakili na kuchanganua kwenye skrini ya nyumbani. Kunakili na kuchanganua huanza mara moja kwa kudonoa tu ikoni ya njia ya mkato kwenye skrini ya nyumbani. |
||||||
| Rejesha Onyesho Msingi la Ikoni |
Weka upya uonekanaji wa ikoni za skrini ya nyumbani ili uwe chaguo-msingi. |
||||||
Pazia![]() |
Badilisha rangi ya mandharinyuma ya skrini ya LCD. Pia unaweza kuteua taswira ya mandharinyuma kuitoka kwenye kifaa cha kumbukumbu. Umbizo la JPEG pekee linaauniwa. |
||||||
Rangi ya Mandhari![]() |
Badilisha rangi ya mandharinyuma ya skrini ya juu kwa kila kipengele. |
||||||
Hariri Nakili Skrini![]() |
Badilisha mpangilio wa vipengee vilivyoonyeshwa kwenye skrini ya Nakili. Bado unaweza kurejesha mpangilio chaguo-msingi baada ya kufanya mabadiliko. |
||||||
Muda wa Shughuli Umeisha![]() |
Teua Washa ili kurejesha skrini ya kwanza wakati hakuna operesheni imetekelezwa kwa muda uliobainishwa. Wakati vizuizi vya mtumiaji vimewekwa na hakuna operesheni zinatekelezwa kwa muda uliobainishwa, unaondolewa na kurejeshwa kwenye skrini ya kwanza. Wakati uchapishaji umesitishwa kutoka kwenye kiwambo cha hali au kitufe cha kukatisha au kusitisha, na kisha hakuna operesheni zilizotekelezwa kwa muda uliobainishwa, uchapishaji huendelea kiotomatiki. Iwapo utateua Zima kwa kipengele hiki, haiendelei kiotomatiki baada ya kusitishwa kwa uchapishaji. |
||||||
Arifa ya K'sabu cha Ku'sha Rangi![]() |
Weka Washa ili ionyeshe ujumbe wa uthibitishaji unaouliza kama unataka kuendelea na uchapishaji wakati kazi ya uchapishaji ya kijivu inahesabiwa kama kazi ya uchapishaji ya rangi. |
||||||
| Kibodi |
Badillisha muundo wa kibodi kwenye skrini ya LCD. |
||||||
| Muda Msingi wa Kurudia |
Kurudia ufunguo ni mbinu ya kuingiza vibambo kwa marudio wakati kitufe kimebonyezwa na kushikiliwa. Wakati muda mrefu wa kurudia ufunguo umewekwa, kasi ya kuingia ni ya haraka. Wakati Zima imewekwa, marudio ya ufunguo haitokei unapobofya na kushikilia kitufe. |
||||||
Skrini chaguo-msingi(Kazi/Hali)![]() |
Teua maelezo chaguo-msingi unayotaka kuonyesha unapodonoa Kazi/Hali. |
||||||
Athari Skrini![]() |
Teua Washa ili kuwezesha athari za uhuishaji unapobadili skrini. Iwapo utateua Zima, kubadili skrini ni rahisi. |
||||||