Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Ya Ziada
Huonyeshai maelezo ya mtandao ya laini ya ziada ya mtandao.
Huchapisha laha ya hali ya mtandao kwa laini ya ziada ya mtandao.
Unahitaji kuingiza nenosiri la msimamizi kwa mtandao wa ziada.
Husanidi mipangilio ya IP ya laini ya ziada ya mtandao.
Huweka iwapo itawezesha au kutowezesha anwani za IPv6 kwa laini ya ziada ya mtandao.
Huteua kasi ya Ethaneti inayofaa na mpangilio wa pande mbili kwa laini ya ziada ya mtandao.
Huwezesha au kulemaza kuelekeza upya kutoka kwa HTTP hadi HTTPS kwa laini ya ziada ya mtandao.
Hulemaza mpangilio wa uchujaji wa IPsec/IP kwa laini ya ziada ya mtandao.
Hulemaza mpangilio wa IEEE802.1X kwa laini ya ziada ya mtandao.
Huweka upya mipangilio ya mtandao wa ziada kuwa chaguo-msingi.