Teua Vipengele vya Kichapishi kutoka katika menyu ya kidukizo, na kisha uteue Output kutoka kwenye Vikundi vya Kipengele.
Teua Upangaji Hamishi kutoka Panga.
Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.
Bofya Chapisha.
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi cha PostScript kwenye Mac OS