Teua Mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Mipangilio ya Usalama > Mipangilio ya Msimamizi > Nenosiri la Msimamizi > Badilisha.
Ingiza nenosiri la sasa.
Tazama maelezo husiani hapa chini kwa ajili ya chaguo-msingi la nenosiri la msimamizi.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kuweka nenosiri jipya.
Ili kurejesha nenosiri la msimamizi ili liwe chaguomsingi, teua menyu zinazofuata kwenye kituo cha udhibiti.
Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Mipangilio ya Usalama > Mipangilio ya Msimamizi > Nenosiri la Msimamizi > Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi