Vipengee vya Mpangilio wa S/MIME

Mail Encryption
  • Ili kutumia usimbaji fiche wa barua pepe, unahitaji kuleta cheti cha usimbaji fiche kwenye kila ufikio uliosajiliwa kwenye orodha ya waasiliani.

    Kuleta Cheti Kilichosimbwa fiche kwenye Ufikio wa Barua pepe

  • Barua pepe zilizosimbwa kwa nji fiche ziatumwa kwa ufikio ambao hauna cheti kilicholetwa cha usimbaji kwa njia fiche.

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Scan to Email

Sanidi usimbaji kwa njia fiche wa barua pepe unapotumia Tambaza kwenye Barua pepe.

Ukiteua Select at runtime, unaweza kuteua iwapo utasimba barua pepe kwa nji fiche au la.

Default at runtime

Teua thamani chaguo msingi ya usimbaji wa barua pepe kwa njia fiche unapotuma barua pepe.

Hii hupatikana wakati Select at runtime imeteuliwa kwa Scan to Email.

Box to Email

Sanidi usimbaji kwa njia fiche wa barua pepe unapotumia Weka kwenye Kikasha kwenye Barua pepe.

Ukiteua Select at runtime, unaweza kuteua iwapo utasimba barua pepe kwa nji fiche au la.

Default at runtime

Teua thamani chaguo msingi ya usimbaji wa barua pepe kwa njia fiche unapotuma barua pepe.

Hii hupatikana wakati Select at runtime imeteuliwa kwa Box to Email.

Fax to Email

Sanidi usimbaji kwa njia fiche wa barua pepe unapotumia Tuma Faksi kwenye Barua pepe.

Algorithm

Weka mfumo wa hisabati kwa usimbaji kwa njia fiche wa barua pepe.

Digital Signature

Tumia kitendaji cha sahihi ya S/MIME, unahitaji kusanidi Client Certificate kwa ajili ya kichupo cha Network Security > S/MIME > Client Certificate.

Kusanidi Cheti kwa ajili ya S/MIME

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Scan to Email

Sanidi sahihi ya kidijitali iliyoambatishwa kwenye barua pepe unapotumia Tambaza kwenye Barua pepe.

Ukiteua Select at runtime, unaweza kuteua iwapo utaongeza sahihi ya kidijitali kwenye barua pepe unapoituma au la.

Default at runtime

Teua thamani chaguo msingi ya kiambatisho cha sahihi ya kidijitali unapotuma barua pepe.

Hii hupatikana wakati Select at runtime imeteuliwa kwa Scan to Email.

Box to Email

Sanidi sahihi ya kidijitali iliyoambatishwa kwenye barua pepe unapotumia Weka kwenye Kikasha kwenye Barua pepe.

Ukiteua Select at runtime, unaweza kuteua iwapo utaongeza sahihi ya kidijitali kwenye barua pepe unapoituma au la.

Default at runtime

Teua thamani chaguo msingi ya kiambatisho cha sahihi ya kidijitali unapotuma barua pepe.

Hii hupatikana wakati Select at runtime imeteuliwa kwa Box to Email.

Fax to Email

Sanidi sahihi ya kidijitali iliyoambatishwa kwenye barua pepe unapotumia Tuma Faksi kwenye Barua pepe.

Algorithm

Teua mfumo wa hisabati kwa ajili ya sahihi ya kidijitali.