|
Vitendaji |
Wastani |
Ya Ziada |
Maelezo husiani |
|
|---|---|---|---|---|
|
Kuchapisha |
Kuchapisha kutoka katika kompyuta |
✓ |
✓ |
|
|
Utambazaji |
Kutambaza kutoka katika kompyuta |
✓ |
✓ |
|
|
Tambaza kwenye Barua pepe |
✓*3 |
✓*3 |
Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada) |
|
|
Tambaza kwenye Kabrasha |
✓*3 |
✓*3 |
Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada) |
|
|
Tambaza kwenye Document Capture Pro |
✓*3 |
✓*3 |
Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada) |
|
|
Tambaza kwenye Wingu |
✓ |
- |
||
|
Kutuma Faksi |
Kutuma na kupokea faksi kutoka kwenye kompyuta |
✓ |
- |
|
|
Tuma Faksi kwenye Barua pepe |
✓*3 |
✓*3 |
Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada) |
|
|
Tuma Faksi kwenye Kabrasha |
✓*3 |
✓*3 |
Kuteua Njia ya Uwasilishaji wa Mtandao (Unapotumia Mtandao wa Ziada) |
|
|
Faksi kwa Wingu |
✓ |
- |
||
|
Faksi ya IP |
✓ |
- |
||
|
Huduma za Epson Connect |
✓ |
- |
||
|
Kisasisha Programu ya EPSON |
✓ |
- |
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater) |
|
|
Kusasisha programu dhibiti |
✓ |
- |
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater) |
|
|
Mipangilio ya mtandao |
Kusanidi anwani ya IP |
✓*1 |
✓*1 |
|
|
Kuweka seva ya proksi |
✓ |
- |
||
|
Kusanidi kutoka Web Config |
✓*1 |
✓*1 |
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config) |
|
|
Kusanidi seva ya LDAP |
✓*3 |
✓*3 |
Kuteua Mtandao ulio na Seva ya LDAP (Unapotumia Mtandao wa Ziada) |
|
|
Taarifa ya barua pepe |
✓*2 |
✓*2 |
||
|
Kusanidi nenosiri la msimamizi |
✓*1 |
✓*1 |
Kubadilisha Nenosiri la Msimamizi kutoka kwenye Paneli Dhibiti |
|
|
Mipangilio mahiri ya usalama |
Uchujaji wa IPsec/IP |
✓*1 |
✓*1 |
Mawasiliano Yaliyosimbwa Fiche kwa Kutumia Uchujaji wa IPsec/IP |
|
IEEE 802.1X |
✓*1 |
✓*1 |
||
|
Jukwaa Wazi la Epson |
✓ |
- |
||
|
Uchapishaji Uliosawazishwa |
✓ |
- |
||
|
Epson Smart Panel |
✓ |
- |
||
✔ = Inapatikana.
- = Haipatikani.
*1: Unahitaji kuweka mipangilio kwa kila mtandao.
*2: Unaweza kutumia mtandao wa kawaida au za ziada kutuma kwa wapokeaji kwa kila ufikio.
*3: Inapatikana tu kwa mtandao ama wa kawaida au wa ziada.