Unaweza kunakili nakala asili na uzipige stepla.
Kipengele hiki kinapatikana na kihitimishi cha hiari.

Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue Kumalizia.
Teua nafasi ya stepla katika chaguo la Bana kwa stepla, na kisha uteue Sawa.
Donoa
.
Unaweza pia kupiga stepla mwenyewe ukitumia kihitimishi cha stepla cha hiari.