Huchapisha data katika ukubwa ndogo kuliko thamani ya Punguza/Ongeza ili kutoshea kwenye ukubwa wa karatasi. Iwapo thamani ya Punguza/Ongeza ni kubwa kuliko ukubwa wa karatasi, huenda data ikachapishwa zaidi ya kingo za karatasi.
Trei ya Towe
Teua trei towe unayotaka kutumia kwa machapisho. Menyu hii huonyeshwa wakati kihitimishi cha stepla kimesakinishwa.
Mhuri
Mhuri
Teua Washa ili kuchapisha mihuri kwenye machapisho yako.
Aina
Chagua aina ya mhuri.
Nafasi ya Stempu
Chagua mkao wa mhuri.
Chapisha Ukurasa
Chagua ukurasa unaotaka kuchapisha mhuri.
Ukubwa
Chagua ukubwa wa mhuri.
Uwazi
Chagua iwapo utafanya muhuri iwe wazi au la.
Tarehe ya Mhuri
Tarehe ya Mhuri
Teua Washa ili kuchapisha mihuri ya tarehe kwenye machapisho yako.
Umbizo la Tarehe
Teua umbizo la tarehe.
Nafasi ya Stempu
Teua nafasi ta mhuri wa tarehe.
Ukubwa
Teua ukubwa wa mhuri wa tarehe.
Mandhari-nyuma
Teua iwapo unataka kufanya mandharinyuma ya mhuri wa tarehe kuwa rangi nyeupe au la. Iwapo utateua Nyeupe, unaweza kuona mhuri wa tarehe vizuri wakati mandharinyuma ya data sio nyeupe.
Nambari za Kurasa
Nambari za Kurasa
Teua Washa ili kuchapisha nambari za ukurasa kwenye machapisho yako.
Umbizo
Teua umbizo la uwekaji nambari kwenye ukurasa.
Nafasi ya Stempu
Teua nafasi ya uwekaji nambari kwenye ukurasa.
Badilisha Nambari
Teua ukurasa unaotaka kuchapisha nambari ya ukurasa. Teua Nambari ya Ukurasa wa Kwanza ili kubainisha ukurasa ambao uchapishaji wa nambari ya ukurasa unafaa kuanza. Pia unaweza kubainisha nambari ya ukurasa inayoanza kwenye Nambari ya Uchapishaji wa Kwanza.
Ukubwa
Teua ukubwa wa nambari.
Mandhari-nyuma
Teua iwapo unataka kufanya mandharinyuma ya nambari ya ukurasa kuwa rangi nyeupe au la. Iwapo utateua Nyeupe, unaweza kuona nambari ya ukurasa vizuri wakati mandharinyuma ya data sio nyeupe.
Ch'a Naf. Kubadilisha
Bainisha nafasi ya kuchapisha kwenye karatasi. Weka pambizo za pande za juu na kushoto za karatasi.
Seti za Chapisho
Teua wakati unachapisha nakala katika vikundi vingi. Unaweza kuweka idadi ya nakala, idadi ya seti, na chaguo za ukamilisho.