> Kutatua Matatizo > Ni Wakati wa Kubadilisha Kibweta cha Wino > Inachapisha kwa Muda kwa Wino Mweusi > Endelea Kuchapisha kwa Muda ukitumia Wino Mweusi Pekee (Mac OS)

Endelea Kuchapisha kwa Muda ukitumia Wino Mweusi Pekee (Mac OS)

Kumbuka:

Ili kutumia kipengele hiki kupitia mtandao, unganisha kwa Bonjour.

  1. Bofya ikoni ya kichapishi katika Doki.

  2. Katika uchapishaji huo.

    Kumbuka:

    Iwapo huwezi kukatisha uchapishaji kutoka kwenye kompyuta, katisha ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.

  3. Teua Mapendeleo ya Mfumo (au Mipangilio ya Mfumo) kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo na Usambazaji > Chaguo (au Kiendeshi).

  4. Teua On kama mpangilio wa Permit temporary black printing.

  5. Nenda kwa mawasiliano ya uchapishaji.

  6. Teua Mipangilio ya Kuchapisha kutoka kwa menyu ibukizi.

  7. Teua aina ya karatasi inayoauni Permit temporary black printing kama mpangilio wa Media Type.

  8. Teua Rekebu-kijivu.

  9. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.

  10. Bofya Chapisha.