Nyuma

Kitengo cha urudufishaji (D2)

Ondoa wakati unaondoa karatasi iliyokwama.

Ingilio la AC

Huunganisha waya ya nishati.

Kifuniko cha nyuma (D1)

Fungua wakati unabadilisha kikasha cha matengenezo au rola ya uchukuaji au kuondoa karatasi ilyokwama.

Kifuniko cha nyuma (E)

Kifuniko cha vitengo vya hiari vya kaseti ya karatasi.

Fungua wakati unabadilisha rola za uchukuaji au kuondoa karatasi ilyokwama.

Kituo tayarishi cha Huduma ya USB

Kituo tayarishi cha USB cha matumizi ya baadaye.

Usiondoe kibandiko.

Kituo tayarishi cha LINE

Unganisha laini ya simu.

Kituo tayarishi cha EXT

Huunganisha vifaa vya nje vya simu.

Kituo tayarishi cha LAN

Huunganisha kebo ya LAN.

Kituo tayarishi cha USB

Huunganisha kebo ya USB.