Ikiwa nozeli zimeziba, uchapishaji unakuwa fifu, mistati inaonekana, au rangi zisizotarajiwa zinaonekana. Ikiwa nozeli zimeziba sana, karatasi tupu itachapishwa. Wakati ubora wa chapisho umepungua, kwanza tumia kipengele cha kukagua nozeli na ukague kama nozeli zimeziba. Ikiwa nozeli zimeziba, safisha kichwa cha kuchapisha.
Usifungue kifuniko cha mbele au kuzima printa wakati wa usafishaji wa kichwa. Ikiwa usafisha wa kichwa haujakamilika, huenda usiweze kuchapisha.
Kusafisha kichwa hutumia wino mwingi na unapaswa kufanywa ikiwa ni muhimu tu.
Wakati wino ni kidogo, huenda usiweze kusafisha kichwa cha kuchapisha.
Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha mara 4, subiri kwa angalau saa 6 bila kuchapisha, angalia nozeli tena , na kisha urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi kwa kutumia kitufe cha
. Ikiwa ubora wa uchapishaji bado haujakuwa bora, wasiliana na usaidizi wa Epson.
Ili kuzuia kichwa cha kuchapisha kisikaue, usichomoe printa wakati nishati imewashwa.
Unaweza kuangalia na kusafisha kichwa cha kuchapisha kwa kutumia paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua Mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua Matengenezo > Ukgz Nozeli ya Kichwa Chapa.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kupakia karatasi na kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.
Chunguza muundo uliochapishwa.
ili kutoka.
Teua
.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kusafisha kichwa cha uchapishaji.
Wakati usafishaji umekamilika, fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kuchapisha ruwaza ya ukaguaji nozeli tena. Rudia usafishaji na uchapishaji hadi mistari yote ichapishwe kabisa.
Unaweza kuangalia na kusafisha kichwa cha kuchapisha kutoka kwenye kiendeshi cha kichapishi.
Windows
Bofya Ukaguzi wa Nozeli ya Kichwa cha Kuchapisha kwenye kichupo cha Utunzaji.
Mac OS
Apple menyu > Mapendeleo ya Mfumo > Vichapishaji na Vichanganuzi (au Chapisha na Uchanganue, Chapisha na Utume Faksi) > Epson(XXXX) > Machaguo na Usambazaji > Matumizi > Fungua Matumizi ya Kichapishi > Ukaguzi wa Nozeli ya Kichwa cha Kuchapisha