Iwapo matumizi ya kichapishi yamezuiwa na msimamizi, uchapishaji unapatikana baada ya wewe kusajili akaunti yako kwenye kiendeshi cha kichapishi. Wasiliana na msimamizi wa akaunti yako ya mtumiaji.
Save Access Control settings
Hukuwezesha kuingiza jina la mtumiaji na nenosiri.
User Name
Ingiza jina la mtumiaji.
Password
Ingiza nenosiri.
Reserve Job Settings
Unda mipangilio kwa kazi za uchapishaji zilizohifadhiwa kwenye kumbukumbu ya kichapishi.
Confidential Job
Chagua Confidential Job na uingize nenosiri. Kichapishi hakitachapisha hadi uingize nenosiri kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.